Home » » MDAU MAHMOUD SHOO NA LEILA (JENNIFER) KAKOLAKI WALIVYOMEREMETA JIJINI DAR

MDAU MAHMOUD SHOO NA LEILA (JENNIFER) KAKOLAKI WALIVYOMEREMETA JIJINI DAR

Written By JAK on Monday, November 18, 2013 | 6:30 AM


 Mdau Mahmoud Shoo na Mai Waifu wake,Leila (Jennifer) Kakolaki wakiwa na nyuso za bashasha na raha tele wakati wa tafrija yao ya kuwapongeza mara baada ya kumeremeta,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Shengeni,Mbezi Beach jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
  Maharusi Mahmoud Shoo na Mai Waifu wake,Leila (Jennifer) Kakolaki wakijadiliana jambo kwa furaha wakati wa tafrija yao ya kuwapongeza mara baada ya kumeremeta,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Shengeni,Mbezi Beach jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Wakipata kinywaji kwa namna yao.
Maharusi wakiwa na wapambe wao wakati wa tafrija yao ya kuwapongeza mara baada ya kumeremeta,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Shengeni,Mbezi Beach jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger