Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi
Mdogo wa Oman Nchini Tanzania anaefanyia kazi zake Zanzibar Saleh Suleiman Al Harth,alipofika Ikulu Mjini
Zanzibar kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,akifuatana na Balozi Mdogo
wa Oman Nchini Tanzania anaefanyia kazi zake Zanzibar Saleh Suleiman Al Harth,alipofika Ikulu Mjini
Zanzibar kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini.Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.

Post a Comment