Home » » WATEJA WA VODACOM ARUSHA WAKABITHIWA BODABODA ZAO

WATEJA WA VODACOM ARUSHA WAKABITHIWA BODABODA ZAO

Written By JAK on Monday, December 30, 2013 | 7:02 AM


Mshindi wa Promosheni ya Timka na boda boda wa Mkoa wa Arusha Bi.Anna Ombela akikabidhiwa ufunguo na kadi ya pikipiki yake aliyojishindia katika Promosheni hiyo na Meneja wa Vodacom Tanzania kanda ya Kaskazini Bi. Assumpta Malongo(kushoto)katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya stendi ya Nduruma hapo jana,Jumla ya washindi 13 wa kanda hiyo walikabidhiwa bodaboda zao.
Meneja wa Vodacom Tanzania Kanda ya Kaskazini Bi. Assumpta Malongo(kushoto)akimkabidhi funguo wa pikipiki yake mshindi wa Promosheni ya Timka na Bodaboda wa Mkoa wa Arusha Anna Ombela, katika hafla fupi iliyofanyika katika kituo cha mabasi cha Nduruma hapo jana,Jumla ya washindi 13 wa kanda hiyo walikabidhiwa bodaboda zao.
Mshindi wa Promosheni ya Timka na boda boda wa mkoani wa Arusha,Bw. Denis Richard Ngowa akikabidhiwa ufunguo na kadi ya pikipiki na Meneja wa Vodacom Tanzania kanda ya Kaskazini Bi.Assumpta Malongo katika hafla fupi iliyofanyika kwenye kituo cha mabasi cha Nduruma hapo jana,Jumla ya washindi 13 wa kanda hiyo walikabidhiwa bodaboda zao.
Mshindi wa Promosheni ya Timka na boda boda wa Mkoa wa arusha Bi.Anna Ombela akiwa juu ya pikipiki yake baada ya kukabidhiwa rasmi na Meneja wa Vodacom Tanzania kanda ya Kaskazini Bi. Assumpta Malongo(hayupo pichani) katika hafla fupi iliyofanyika kwenye viwanja vya kituo cha mabasi cha Nduruma hapo jana,Jumla ya washindi 13 wa kanda hiyo walikabidhiwa bodaboda zao.
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger