Home » » Mh. Lowassa na Mh. Walioba washiriki Ibada ya Kuaga Mwili wa Mbunge wa Zamani wa Karatu,Marehemu Patrick Qorro jijini dar leo

Mh. Lowassa na Mh. Walioba washiriki Ibada ya Kuaga Mwili wa Mbunge wa Zamani wa Karatu,Marehemu Patrick Qorro jijini dar leo

Written By JAK on Tuesday, February 11, 2014 | 7:59 PM

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akimsalimia Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais (mstaafu), Jaji Joseph Warioba wakati walipokutana katika msiba wa Mbunge wa Zamani wa Karatu,Marehemu Patrick Qorro,Nyumbani kwa Marehemu maeneo ya Ada Estate,Jijini Dar es salaam leo.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akimsikiliza Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere,Mzee Joseph Butiku wakati wakiwa kwenye msiba wa Mbunge wa Zamani wa Karatu,Marehemu Patrick Qorro,Nyumbani kwa Marehemu maeneo ya Ada Estate,Jijini Dar es salaam leo.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa na Mkewe Mama Regina Lowassa wakitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Mbunge wa Zamani wa Karatu,Marehemu Patrick Qorro,Nyumbani kwa Marehemu maeneo ya Ada Estate,Jijini Dar es salaam leo.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akibadilishana mawazi na Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais (mstaafu), Jaji Joseph Warioba wakati walipokuwa wakiondoka msibani,mara baada ya kumalizika kwa ibada ya kuaga Mwili wa Mbunge wa Zamani wa Karatu,Marehemu Patrick Qorro,Nyumbani kwa Marehemu maeneo ya Ada Estate,Jijini Dar es salaam leo.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Prof. Issa Shivji wakati walipokutana kwenye msiba wa Mbunge wa Zamani wa Karatu,Marehemu Patrick Qorro,Nyumbani kwa Marehemu maeneo ya Ada Estate,Jijini Dar es salaam leo.
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. New EAC Blog - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger